Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
Agusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;
1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
Wenye mtindio wa ubongo ndo watashangaaAkiamua kuongelea la mchakato wa Katiba mpya atawashangaza wengi.
Ww ndio maskini wa fikra, huna jipyahakuna jipya , wala sitahangaika kumsikiliza .
Atazungumzia ufujaji wa ruzuku ya chama unaofanywa na slaa kwenda kutumbua na hawara yake nje ya nchiAgusie yafuatayo kama mkuu wa nchi;
1) Tanzania kutengwa ktk ushiriki wa maamuzi ya EAC
2) Uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania
3) Uamuzi wa TRA kuendelea na kudai kodi ya laini za simu
4) Hali ya usalama wa nchi kama amri jeshi mkuu hasa tishio la ugaidi (namna tulivyojipanga) na wimbi kubwa la ujambazi
5) Maoni yake kuhusu shinikizo la wananchi kutosaini mswada wa katiba mpya
6) Hatua maalum ilizozichukua serikali kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
Watu km ww ni mzigo kwa taifaBinafsi sina muda wa kumsikiliza maana mambo ya msingi huwa anayasema kimzaa na wakati mwingine kutoyagusia kabisa! Naweza kuweka hela kwamba muda mwingi ataelezea safari zake za nje na opereshen iliyofail (kimbunga)
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka hawahutubie wananchi hakiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Mkuu ukiipata iweke hapa mapema tuisome mapema ...Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.