Jk kamata anayewaibia watanzania please!!!! Wapi ahadi zako?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kamata anayewaibia watanzania please!!!! Wapi ahadi zako??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bwegebwege, Dec 22, 2010.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  JK hawezi kumkamata yeyote kwa sababu wao ndio waliomuweka hapo alipo. La kufanya WaTZ ni kuwakamata sisi wenyewe na tuwape kipigo cha paka mwizi. Tusitegemee kuwa sheria za TZ zitawaadabisha.
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Inatia huruma. Hao kinamama kwenye picha wanamhurumia mtanzania lakini serikali ya Tanzania inawapa wezi kila kinga wanayohitaji. Ipigwe kelele kwa hizo nchi wanazoita wahisani. Pengine wakisitisha misaada mishahara kwa polisi, wanajeshi na watumishi wengine ikawa shida mafisadi na serikali wanaweza kuamka.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Labda akamatwe yeye, anaebisha basi ila atakamatwa yeye na wao
   
Loading...