Elections 2010 Jk kakimbilia mwanza ama zanzibar?

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13
Nimekuwa nikisoma baadhi ya post za wadau, kuna baadhi ya watu wanadai hivi sasa JK yupo Mwanza pia kuna baadhi ya watu wanadai ati yupo Zanzibar, naomba usahihi juu ya hilo
 
Nimekuwa nikisoma baadhi ya post za wadau, kuna baadhi ya watu wanadai hivi sasa JK yupo Mwanza pia kuna baadhi ya watu wanadai ati yupo Zanzibar, naomba usahihi juu ya hilo

Hawez kwenda Z'bar (kwa waislamu wenzake).

Yuko kwa makafiri Mwanza.
 
JK anataka damu ya watanzania hana haja ya kuwaokoa jamaa zake
 
Kiuhakika yupo Zanzibar unajua uchaguzi wote wa Tanzania sehemu ambayo ni active ni Zanzibar ,uchaguzi unaweza kuharibika popote pale lakini ukiharibika na kuaanza mzozo huko visiwani basi ujue moto wake kuuzima ni shida sana ,na utaharibu kila kitu na itatapakaa dunia nzima within a second ,sio mchezo na sasa watu wanashereheka kwa nguvu na sauti na tayari wameshaleta ngoma hapo bwawani ni kukesha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom