Wadau,tafadhalini sana kwa yeyote anayefuatilia kampeni za CCM Mwanza,kuna habari zimeanza kusambaa kwamba JK kaanguka tena.... tafadhali sana kama kuna anayefuatilia na akiwa na uhakika,atujulishe tulio mbali...

Hiyo website kwenye kitufe cha "ratiba ya kampeni" hakuna kitu zaidi ya kalenda ya kawaida,pia website nzima hakuna habari mpya au picha,sasa unaposema habari zaidi tuende huko habari zipi hizo au ndio kuhalalisha bilioni 50?