JK: Inakuwaje uko upande wa upinzani?

JK: Inakuwaje uko upande wa upinzani?

Dunia imekuwa kijiji kidogo sio lazima ukae Tandahimba kufahamu kinachotokea Tandahimba.

Ni kweli dunia imekuwa kijiji kidogo, lakini kwa nini basi raisi wetu asitumie fursa hii kubaki nchini na kushughulikia matatizo lukuki yanayoikabili nchi yetu huku akiwa hapahapa Tanzania na badala yake ameamua kuwa ombaomba. Hivi kweli ni muhimu kwa raisi wetu kuhudhuria kila mkutano wa nje, wakati kuna wasaidizi kibao. Mbona marais wa nchi nyingine sio watembezi? au ndio tuseme rais wetu ana hobby ya kupenda kutembea!
 
Hayo uliyoyaandika mbona hayaendani kabisa na mada yako au ndo unajifunza kuingia JF?

Aaah Mamaisara, mbona unaniangusha? Unataka aandike wazi wazi hivyo kama anawaandikia watoto. I thought being a senior member u should have known faster and better than the rest of us juniors!!?.

Nikusaidie tu kwa Kifupi...JK anaona mambo mengi yanavyokwenda kombo na hachukui hatua za makusudi kusahihisha...Mwenye post anajiuliza...au yuko upinzani, akifurahia CCM na serikali vianguke?
 
mi nilitegemea kwa kua JK ametembelea sana nchi za nje na anajua zinavyojiendesha basi ange adapt na yeye akawa anaendesha nchi kidhungu dhungu lakini mmh mtoto wa mkulima ni mtoto wa mkulima tu hata umpeleka ulaya atabakia kua mtoto wa mkulima

I wish his goals for traveling were to learn the ways of his successful fellas, but alas!! He travels for his own adventures, for prestige, for publicity, to fulfil his own dream before his time runs out!! If he couldn't save us during his first tenure(when we anticipated the best out of him), he obviously can take time to do it now!Am sadly getting used to it.
 
Katika udhaifu ndipo binadamu anapojifunza.
 
Wanajamvi kwa kweli najiuliza huyu bw. "nepi" _ kuropoka na braza "n_jimbi" watajifcha wap kwa ukwel wa kifo cha Devy?
 
Jamani anamalizia ngwe yake!!! Bado miaka michache kama mitatu hivi na mambo hayaendi ni bora akajionee kwa wenzake.
 
Tumeyataka wenyewe, acha amelizie kuharibu zaidi
 
Back
Top Bottom