JK hawezi kosekana kwenye Epstein files

JK hawezi kosekana kwenye Epstein files

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
Mzee wa Msoga hawezi kosekana kwenye Epstein files

Ukaribu wake na Bus na Elite families unatilia mashaka makubwa

Ukaribu wake na Tony blair pia

Ilifika mahali hadi Bush akawa anakuja kwa safari binafsi Tanzania

Sidhani kama mzee wa msoga atakosekana kwenye Epstein files

Hadi boss wa DP world naye yumo
 
Ndio nini hizo files?
Chatgpt
“Epstein files” ni kundi kubwa la faili za serikali na ushahidi zinazohusu uchunguzi wa jinai dhidi ya Jeffrey Epstein — mfanyabiashara tajiri wa Marekani aliyehukumiwa uhalifu wa kingono na walio wazee kuwa na uhusiano wa utoro wa watoto 😂. Faili hizi zimekuwa chunguzi kubwa ya umma na magazeti hivi sasa zina taarifa mpya kuhusu kile kinachojitokeza.

📁 1. Ni nini hasa “Epstein files”?

  • Ni maelfu ya kurasa za nyaraka, barua pepe, rekodi za safari, wasifu wa safari ya ndege, rekodi za mahakama, video, picha, na taarifa za mashahidi zinazohusiana na uchunguzi wa kesi za jinsia dhidi ya Epstein na msaidizi wake Ghislaine Maxwell.
  • Faili hizi zina vitu kama rekodi za safari za ndege zake (“Lolita Express”), barua pepe na mawasiliano na watu mbalimbali, na taarifa za jeshi la FBI/DOJ kuhusu uchunguzi wake.

👥 2. Ni nani wanaonekana ndani ya faili hizi?

  • Faili zinaweza kumtaja mwandamano wa watu maarufu (wakiwemo wanasiasa, watu wa biashara, na wengine) au kuonyesha picha na uhusiano wa kijamii, lakini kuonekana kwa jina mtu ndani ya faili si ushahidi wa uhalifu.
  • Kwa mfano, baadhi ya picha iliyotolewa zinaonekana pamoja na watu kama Bill Clinton na wengine maarufu (waliondolewa/kuhifadhiwa au nyenzo zimekatwa).

📅 3. Kwa nini sasa zimeonekana?

  • Mnamo Novemba 2025, Bunge la Marekani liliidhinisha Sheria ya “Epstein Files Transparency Act” iliyoweka masharti ya kutolewa kwa nyaraka zote zinazoweza kutolewa hadharani.
  • Mnamo **30 Januari 2026, Idara ya Sheria ya Marekani ilitoa takriban zaidi ya 3.5 milioni za kurasa za faili, video, na picha kama sehemu ya utekelezaji wa sheria hiyo.

📌 4. Je! Hizi ni kweli “list ya wateja”?

  • Hakuna ushahidi wa kimantiki ndani ya hizi faili kwamba kuna “client list” ya kimyakimya ya wateja wa Epstein kama baadhi ya hadithi za mtandaoni zilivyodai; ni tovuti ndogo tu (archive) inayoweka nyaraka zote zilizotolewa hadharani, lakini haina uthibitisho rasmi wa orodha ya wateja waliobaki siri.

⚠️ 5. Vidokezo na hitimisho

  • Faili zina rekodi ya kesi za kifedha, ushahidi wa mahakama, na rekodi za jeshi zilizokusanywa na FBI na DOJ.
  • Watu wengi waliopo kwenye nyaraka hawawezi kuwa wamehukumiwa au kuonyeshwa kuwa wana hatia — ni tu majina au barua pepe zinazohusiana na mawasiliano au uhusiano fulani.
  • Baadhi ya nyaraka bado hazijafunguliwa hadharani kwa sababu ya faragha ya waathiriwa, hadhi ya kisheria, au sababu za uchunguzi.
Ikiwa ungependa nikupe muhtasari wa kile kinachojitokeza hivi sasa kila wiki, au jina maarufu lililojadiliwa ndani ya hizi faili, niambie! 😊
 
Mzee wa Msoga hawezi kosekana kwenye Epstein files

Ukaribu wake na Bus na Elite families unatilia mashaka makubwa

Ukaribu wake na Tony blair pia

Ilifika mahali hadi Bush akawa anakuja kwa safari binafsi Tanzania

Sidhani kama mzee wa msoga atakosekana kwenye Epstein files

Hadi boss wa DP world naye yumo
Ni ishu ya muda tu.

Elon Musk tayari ameshatajwa.

Hawa matajiri na watu maarufu party zao zinakuaga ni balaa.

Unafika zako kwenye party unakuta umeandaliwa kitoto kibichiii miaka 16 na bikra yake, unaambiwa Mr president this is for you

Hawa viongozi wa dunia na matajiri wakubwa msiwaone hivi, wanaifaidi dunia to the fullest,

Hizi sheria umewekewa wewe mpuuzi mmoja. imagine mtu ana pewa kitoto cha miaka 16 akitoe bikra(jaribu wewe uone kama hujala nyundo 30)
 
Hatari sanaa
 
Unaongea kiushabiki kama unafurahia ili hivyo vyote na pamoja na kunywa na kula damu za watoto wachanga is all abt satanism
 
Ni ishu ya muda tu.

Elon Musk tayari ameshatajwa.

Hawa matajiri na watu maarufu party zao zinakuaga ni balaa.

Unafika zako kwenye party unakuta umeandaliwa kitoto kibichiii miaka 16 na bikra yake, unaambiwa Mr president this is for you

Hawa viongozi wa dunia na matajiri wakubwa msiwaone hivi, wanaifaidi dunia to the fullest,

Hizi sheria umewekewa wewe mpuuzi mmoja. imagine mtu ana pewa kitoto cha miaka 16 akitoe bikra(jaribu wewe uone kama hujala nyundo 30)
Watu wanavichaapa haswa na hakuna nyundo yeyote
 
Ni ishu ya muda tu.

Elon Musk tayari ameshatajwa.

Hawa matajiri na watu maarufu party zao zinakuaga ni balaa.

Unafika zako kwenye party unakuta umeandaliwa kitoto kibichiii miaka 16 na bikra yake, unaambiwa Mr president this is for you

Hawa viongozi wa dunia na matajiri wakubwa msiwaone hivi, wanaifaidi dunia to the fullest,

Hizi sheria umewekewa wewe mpuuzi mmoja. imagine mtu ana pewa kitoto cha miaka 16 akitoe bikra(jaribu wewe uone kama hujala nyundo 30)
Ila hawa walikua too much jamani hadi kula nyama za watu 🙆🏼‍♀️
 
Mzee wa Msoga hawezi kosekana kwenye Epstein files

Ukaribu wake na Bus na Elite families unatilia mashaka makubwa

Ukaribu wake na Tony blair pia

Ilifika mahali hadi Bush akawa anakuja kwa safari binafsi Tanzania

Sidhani kama mzee wa msoga atakosekana kwenye Epstein files

Hadi boss wa DP world naye yumo
Boss wa Dp world??Hawa tuliowapa bandari yetu kwa malipo ya elfu sabini kwa siku?
 
Ni ishu ya muda tu.

Elon Musk tayari ameshatajwa.

Hawa matajiri na watu maarufu party zao zinakuaga ni balaa.

Unafika zako kwenye party unakuta umeandaliwa kitoto kibichiii miaka 16 na bikra yake, unaambiwa Mr president this is for you

Hawa viongozi wa dunia na matajiri wakubwa msiwaone hivi, wanaifaidi dunia to the fullest,

Hizi sheria umewekewa wewe mpuuzi mmoja. imagine mtu ana pewa kitoto cha miaka 16 akitoe bikra(jaribu wewe uone kama hujala nyundo 30)
Umesema kweli Kiongozi. Hawa watu wanaoitwa "Waheshimiwa" kwenye jamii, ni watu wachafu sana. Ukiwasikia wanaongea hadharani kuhusu ubakaji, ulawiti, ushoga, rushwa, ufisadi, utiifu wa Sheria, n.k unaweza kudhani ni watu aisee. Hata hapa nchini wengi wanavibutua vitoto vya shule vya under 18 na huwaoni wakila mvua ya miaka 30.
 
Kabisa
 
Ni ishu ya muda tu.

Elon Musk tayari ameshatajwa.

Hawa matajiri na watu maarufu party zao zinakuaga ni balaa.

Unafika zako kwenye party unakuta umeandaliwa kitoto kibichiii miaka 16 na bikra yake, unaambiwa Mr president this is for you

Hawa viongozi wa dunia na matajiri wakubwa msiwaone hivi, wanaifaidi dunia to the fullest,

Hizi sheria umewekewa wewe mpuuzi mmoja. imagine mtu ana pewa kitoto cha miaka 16 akitoe bikra(jaribu wewe uone kama hujala nyundo 30)
unakuta warembo 6 mpaka 8 kwa ajili yako tu tena vya high schools tu

Kuna kipindi hapo Dar miaka ya 2010 mpaka 2015 hao jamaaa ma CEO S na ma general managers wa private companies and mabenki ya Dar walikuwaga na nyumba mikocheni kali sana ina kila kitu party kila week end ma binti walikuwa wanaletwa kutoka IFM, UDSM, CBE vinaondoka na laki laki ya enzi hizo na uhakika wa kuwa brand ambassador au intern , Analyeliwa anapewa 250.000
 
KAMA NI KWELI YULE SHEIKH WA
Ni ishu ya muda tu.

Elon Musk tayari ameshatajwa.

Hawa matajiri na watu maarufu party zao zinakuaga ni balaa.

Unafika zako kwenye party unakuta umeandaliwa kitoto kibichiii miaka 16 na bikra yake, unaambiwa Mr president this is for you

Hawa viongozi wa dunia na matajiri wakubwa msiwaone hivi, wanaifaidi dunia to the fullest,

Hizi sheria umewekewa wewe mpuuzi mmoja. imagine mtu ana pewa kitoto cha miaka 16 akitoe bikra(jaribu wewe uone kama hujala nyundo 30)
ARABUN ALITAKA, KUMPA TRUMP MTOTO WAKE BIKRA, BASI DUNIA KWISHA, NDO MANA YULE MTOTO WA UAE YULE BINTI ETI ALITAKA AOLEWE NA TRAOLE JAMAA ANGEENDEKEZA KICHWA CHA CHINI, ILIKUA BHASIII
 
Back
Top Bottom