Jk: Hakuna mfanyakazi atakae kuwa mtumwa ndani ya nchi yake

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu!
JK leo katika sherehe ya wafanyakazi duniani ( mei Moi) mjini morogoro. Rais amekana
kauli mbiu ya wafanyakazi inayosema " Serikali isipojali maslahi ya wafanyakazi tunakuwa watumwa ndani ya nchi yetu" na kusema hakuna mfanyakazi atakae kuwa MTUMWA ndani ya Tanzania. akimaanisha atatatua matatizo ya wafanyakazi nchini.
 
Miaka 5 iliyopita amewafanyia nn wafanyakazi Zaid ya kuwaita 'Mbayuwayu'?! Kwa muda uliobaki hakuna lolote zaidi ya 'kuchunana ngozi' a.k.a magamba
 
Back
Top Bottom