Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
JK anatembelea Mtwara (tamka "Ntwara") nn dhima ya safari/ziara yake hii? ni kuweka sawa mambo ya gesi? ktk moja ya bango la waandamanaji that time kulikuwa na ujumbe mzito "gesi ni ya wana mtwara c bagamoyo", Nini hasa lengo la safari yake hii this time?