UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Hapana mkuu. Nimeiweka hiyo kama njia ya ushirikishaji. Wahandisi wetu washiriki kwenye mjadala.Mkuu unahitaji mhandisi kutilia shaka 42Km kwa USD 1.5 bn na hilo la JK 200 metres (0.2Km) kwa USD 0.5bn?
Acheni presha ni makosa ya ki-uandishi, Tanroads hawana single project Tanzani yenye thamani ya $800 mill.
Hamtaki sasa!? Wabongo bwana.. hilo daraja litakuwa na urefu gani?
THE Tanzania Roads Agency (TANROADS) has signed a contract with a South Korean M/S Hanil Engineering and Construction Company Limited for construction of Malagarasi Bridge in Kigoma region.
Speaking at a brief signing ceremony, the Chief Executive Officer of Tanroads, Mr Ephraim Mrema, said the 275-metre long bridge construction project will be completed in the next three years.
He said the project will be financed jointly by the Republic of Korea which will contribute USD 23 million and the government of Tanzania, which will also contribute USD 33 million, totalling USD 56 million - the value of the project. -SOURCE delenyuz
Kkwani Mrema bado yupo hapo TANROADS? Je Mkataba huu ulisainiwa lini?
Hilo Gazeti la HabariLeo/Gwiji la habari wamekosea. Ni BILLIONI 85 NOT 805
KWAAJILI YA UJENZI WA DARAJA KUBWA 200, MADARAJA MADOGO 25M NA 50M BARABARA KM 48, MACULVERT MAKUBWA/BOX CULVERTS = 10, MA CULVERT MADOGO/PIPE CULVERTS = 80.
IKUMBUKWE UNIT BRIGE/UMOJA BRIDGE LILIJENGWA KWA BILLION 22, AMBALO LILIKUWA MITA 720
totalling USD 56 million - the value of the project.
Kitufe cha thenku yuu kiko wapi? Kuna mijitu humu ndani kila siku ni lawama tu!THE Tanzania Roads Agency (TANROADS) has signed a contract with a South Korean M/S Hanil Engineering and Construction Company Limited for construction of Malagarasi Bridge in Kigoma region. Speaking at a brief signing ceremony, the Chief Executive Officer of Tanroads, Mr Ephraim Mrema, said the 275-metre long bridge construction project will be completed in the next three years. He said the project will be financed jointly by the Republic of Korea which will contribute USD 23 million and the government of Tanzania, which will also contribute USD 33 million, totalling USD 56 million - the value of the project. -SOURCE delenyuz
Mkuu ndo lugha gani ya kuitana hivyo? Kwanini usibishane kwa hoja badala ya kutukanana? Isitoshe kulikuwa na ubaya gani wa mtoa mada kutilia shaka kiasi kikubwa namna ile kwa mradi huu. Je ni kosa au ubishi wake kutilia shaka habari aliyoisoma kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali mpaka umwite mjitu?Kitufe cha thenku yuu kiko wapi? Kuna mijitu humu ndani kila siku ni lawama tu!
Sasa iko clear mkuu, thanks. Sasa hao habari leo ambao ni ofisi moja na daily nuwz walitoa wapi hiyo figure 805bn??
Mkuu ndo lugha gani ya kuitana hivyo? Kwanini usibishane kwa hoja badala ya kutukanana? Isitoshe kulikuwa na ubaya gani wa mtoa mada kutilia shaka kiasi kikubwa namna ile kwa mradi huu. Je ni kosa au ubishi wake kutilia shaka habari aliyoisoma kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali mpaka umwite mjitu?
Tubadilike waheshimiwa!
Kweli mkuu, kama atakuwa na busara japo ndogo kama chembe ya haradali.busara ndogo tu km hii inahitajika kuwabadilisha watu, haihitajiki nguvu kubwa ya kurudisha matusi, bilashaka atarudi kuomba msamaha.
Nimekusikia mkuu, thenki yuuMkuu ndo lugha gani ya kuitana hivyo? Kwanini usibishane kwa hoja badala ya kutukanana? Isitoshe kulikuwa na ubaya gani wa mtoa mada kutilia shaka kiasi kikubwa namna ile kwa mradi huu. Je ni kosa au ubishi wake kutilia shaka habari aliyoisoma kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali mpaka umwite mjitu?Tubadilike waheshimiwa!
Pamoja mkuu! Ahsante kwa uelewa wako!Nimekusikia mkuu, thenki yuu