RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa ametimiza ndoto yake aliyoingia nayo Ikulu mwaka 2005 kuhusu kuanza kwa ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi ambalo lilikuwa kero kubwa kwa wananchi wa mkoa Kigoma kwa muda mrefu.
Kikwete alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la uzinduzi rasmi wa ujenzi wa daraja hilo linalojengwa kwa mkopo nafuu kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Korea, ambapo kiasi cha Sh bilioni 805 kinatarajiwa kutumika kwa utekelezaji wa mradi huo ikijumlisha kilometa 48 za barabara kwa kiwango cha lami.
Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na umbali wa mbio za marathoni) kama mile 26 hivi.
Daraja hilil la China la kisasa kama picha zinavyoonesha limejengwa kwa gharama ya dola bilioni 1.5 (karibu na shilingi za Kitanzania Trilioni 2 na ushee). Daraja hili lilianza kujengwa mwaka 2006 na limekamilika mwaka 2011 kama ilivyotarajiwa.
Kilomita 2.Hamtaki sasa!? Wabongo bwana.. hilo daraja litakuwa na urefu gani?
Kwani JF hatuna wahandisi wanaoweza kutusaidia kufanya mchanganuo?
Kweli, kama gharama ndo hizo ukilinganisha na hicho kitu cha wachina, basi hapo kuna keusi na kekundu.
Nani anamiliki mipaka ya daraja?Hela haina thamani siku hizi wiki ilopita nilikuwa shahidi kiwanja cha less than 50 by 50 mts Kariakoo kimeuzwa 1.5 billion shillings.
Pia inajumuisha barabara ya km 64.
THE Tanzania Roads Agency (TANROADS) has signed a contract with a South Korean M/S Hanil Engineering and Construction Company Limited for construction of Malagarasi Bridge in Kigoma region.
Speaking at a brief signing ceremony, the Chief Executive Officer of Tanroads, Mr Ephraim Mrema, said the 275-metre long bridge construction project will be completed in the next three years.
He said the project will be financed jointly by the Republic of Korea which will contribute USD 23 million and the government of Tanzania, which will also contribute USD 33 million, totalling USD 56 million - the value of the project. -SOURCE delenyuz
Mkuu usisome gazeti lolote la lugha ya kiswahili ukitaka kujua mikataba ya lugha ya kiingereza!!...hata numerali watataka kuzitafsiri.Sasa iko clear mkuu, thanks. Sasa hao habari leo ambao ni ofisi moja na daily nuwz walitoa wapi hiyo figure 805bn??