Jk atembelea mahindi badala ya umeme na mafuta !

ambasadeur

Member
Jan 16, 2011
6
0
Juzi nimepata mshituko mkubwa jk anatembelea soko la mahindi kibaigwa badala ya kutembelea mitambo ya umeme au hata bandarini kuangalia hali ya mafuta ambayo ndio matatizo yanayolisababishia taifa mfumuko mkubwa sana wa bei na maisha kuwa magumu sana kwa watanzania wa kawaida .kwa hali hii hayo mahindi tunayamudu vipi na tusishangae kesho akaenda ferry kuangalia samaki ?. Yeye kama kiongozi mkuu alitakiwa ashughulikie hay na kuyatolea matamko badala yake makamba mdogo eti anashughulikia.jamani yeye ni wa kushughulika na masuala nyeti yanayogusa uchumi na usalama wetu kwa wakati husika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom