JK atamshukuru Lowassa Kwa Lipi Kwa Mema Aliyomtendea Hata Kuwa Raisi wa JMT to 2015?

tartoo

Senior Member
Jul 2, 2010
129
2
Nafikiriaaaaa....


Sipati Majibu.EL Anautaka Uraisi....JK Hana la Kupoteza Sasa....Anyone out there to predict Reward?
 
JK amefikishwa hapo alipo na EL na ili kujihakikishia mapumziko salama baada ya ngwe yake analazimika kuheshimu makubaliano yao ya kifisadi ili waendelee kuficha uozo wao na kuendele kuitafuna nchi!
 
Back
Top Bottom