Jk atakuwa mc mzuri sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk atakuwa mc mzuri sana!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bio, Oct 16, 2010.

 1. B

  Bio New Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda alishawahi kuwa mc huko nyuma basi kama sivyo amesoma alama za nyakati, huyu jamaa anajiandaa vyema kwa kazi hiyo baada ya oktoba 31 kwani kila nikitafakari anayoyasema na ahadi anazotoa hana tofauti na mc kwenye sherehe anayetia madoido kama kusema "hii shela ya bibi harusi imeshonwa mbinguni" . Alifanya usanii huo mwaka 2005 akapewa nchi yeye, mafisadi pamoja na familia yake wakaiharibu na sasa anaitaka tena, HATUKUBALI. After 31 october tutakuwa na mc mzuri sana, tumtumie!
  Hii ni NGUVU YA UMMA.
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,639
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Hivi mc akiugua ghafla katikati ya sherehe nini kinaweza kufanyika? Au DJ atachukua mikoba?
   
 3. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  MC akiugua ni DJ au Meneja wa safafu flow Manager anafanya kazi..

  JK anafaa kuwa Mc ila ni kwenye Mbesi na kitchen part tu..

  Harusi hataweza.... Nitamtafutia kazi nyingi kanda ya kaskazini...
   
 4. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  U-MC si kazi rahisi, hawezi!
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  RIZ1 akisoma hapa atapata bp ya utotoni walah
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Utani sasa huo
   
Loading...