JK atabiriwa magumu 2008

Zee la shamba

Member
Oct 17, 2007
55
3
na Mwandishi Wetu

Source: Tanzania Daima
 
Magumu ameshataaribiwa na yanatabirika:
"Jukumu lake limekuwa kusimamia milolongo ya miradi..."

Bila hili, (kusimamia milolongo ya miradi) kura itakuwa ngumu sio kwake yeye tu, bali kwa CCM.

"...badala ya kuangalia tatizo kuu linalokwamisha maendeleo ambalo ni ukosefu wa ari ambayo ni muhimu katika kuwezesha utatuzi wa matatizo mengi yanayoikabili nchi,"

Hii ari inakufa kwa sababu tu ya milolongo-Sioni vinginevyo!

Pamoja na yote, miaka miwili hiyo ya JK ilikuwa haitabiriki wakati akitafuta kura...sasa yapo uwani pamoja na uwalakini. Bado ana miaka nane inayanayoweza kutabiriwa pamoja na 2008! Magumu aliyakuta na atayaacha. Ari mpya na kasi Mpya-kwa kasi mpya ndio inafaa kwa sasa, au?
 
Ngoja na UN, IMF and World Bank waje na report zao, you will be surprise. Maana watasema Tanzania is number one of emerging market and other non sense that they always talks about Tanzania.
 
Hawa hawa Economist walikuwa wanamfagilia JK utafikiri walilipwa wakati wa kampeni, na hata juzijuzi tu hapa waliandika a disgusting article how hard the prez anafanya kazi na kusafiri mikoani akiconcentrate kuonana na wananchi kila kukicha, na anapata thousands of sms katika simu yake na anaifanyia kazi!
Naona mambo yamekuwa mabaya kiasi kwamba wanashindwa kuuchuna sasa inabidi waweke vitu hadharani!
 
Ikiwa Mpaka The Economist wanaanza kumsagia muungwana hali mbaya.Halafu wameweka mambo kidiplomasia sana, ukweli ni mbaya maradufu.
 
Je bado ana magumu? Inavyoonekana sasa anajibu mapigo tena ya nguvu ila sasa hivi anafanya na mizenguo
 


Susuviri,
Afadhali wewe umesema. Na mimi niliiona hiyo makala nikadhani imeandikwa na Sinclair, yule baradhuli anayetuibia dhahabu zetu. Sasa sijui hawa Economist wameona kitu gani ambacho hawakukiona wakati ule.
 
Susuviri,
Afadhali wewe umesema. Na mimi niliiona hiyo makala nikadhani imeandikwa na Sinclair, yule baradhuli anayetuibia dhahabu zetu. Sasa sijui hawa Economist wameona kitu gani ambacho hawakukiona wakati ule.


Jasusi umenimaliza na comments zako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…