mkuu Narubongo,check below link kwa habari ya Kikwete-AU na iyo inayoitwa tuzo ya Maralia.
Nimelipitia ilo Tangazo la AU lakini sijaona tuzo yoyote, inawezakana Kiinglish sikielewei vizuri.
http://www.au.int/en/content/presid...sident-jakaya-mrisho-kikwete-tanzania-announc
jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani
SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2
mkuu Narubongo,check below link kwa habari ya Kikwete-AU na iyo inayoitwa tuzo ya Maralia.
Nimelipitia ilo Tangazo la AU lakini sijaona tuzo yoyote, inawezakana Kiinglish sikielewei vizuri.
http://www.au.int/en/content/president-ellen-johnson-sirleaf-liberia-and-president-jakaya-mrisho-kikwete-tanzania-
announc
Ukisikia Habari za mzaha basi ndio hizi, yaani tuzo iheshimike duniani wakati nchi zilizoendelea zote hawana kitu kinachoitwa Marelia? hivi unategemea Rais Barrack Obama atapewa tuzo za namna hii!!??jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani
SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2
​Mkuu, uwe mwangalifu siku nyingine unawza kuchekesha hata maiti. Eti tuzo inayoheshimika sana duniani, lol!
Ukisikia Habari za mzaha basi ndio hizi, yaani tuzo iheshimike duniani wakati nchi zilizoendelea zote hawana kitu kinachoitwa Marelia? hivi unategemea Rais Barrack Obama atapewa tuzo za namna hii!!??
Kweli Waswahili tukishindwa kitu tutabuni lolote lile la kuwazuga watu ili uendelee kuexist.
Kumbe mambo ya afya yako vyema! JK anapewa tuzo juu ya mambo ya afya huku madaktari wanagoma!
Vilaza wanafagiliana. Ugonjwa wa ufisadi unaua kuliko malaria akiumaliza huo tuzo nitampa mimijk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani
SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2