JK apanda chati DRC!!!

kagame sasa alizani utani sasa yanatimia yawezekana mwisho wake ndiyo huo unaonekana unakuja,
 
Siipendi ccm kama nini na ofcourse hata utawala wa JK nauchukia pia lakini kwa issue ya Congo let us be fair, Wakongo wana kila sababu ya kumshukuru JK au Tanzania, wakuu, vita vinavyosababishwa na Kagame na swahiba wake Kaguta ukweli ni kwamba vinatuathiri sana hata sisi, kuna Wabongo wengi tu Congo ambao wanamigodi midogo midogo huko, tunakua na rundo la wakimbizi hapa, kumbuka vita vyote vya nchi za maziwa makuu, kimbilio hua ni Tanzania, silipendi gazeti la Rai but nashawishika kuamini kwamba ni kweli Wakongo wanamshukuru JK na Tanzania kwa ujumla wake na kwa jinsi ninavyo wafahamu hawa watu, watakuja kweli Bongo, Rwanda hata ungewafanyia kitu gani, ile mijitu sijui imeumbwa kwa udongo gani, hainaga shukurani hata kidogo.
 
hiyo ya kula matunda niliiona kwenye gazeti la jamhuri la juzi, na walisema JWTZ wamewachapa wako hoi wameach silaha zao. sasa kuhusu kuja kumshukuru sina uhakika nalo manake sijasoma kwenye gazeti wala habari yyte ile zaid ya hii ya Boflo

Kwa hali ya kawaida, hata usiposoma popote lakini unaweza kujenga taswira kuwa watalazimika kufanya hivyo kwa vile siyo kitu kidogo alichofanya JK na ni lazima walipe fadhila.
 
Nadhani tukiungana na DRC inatosha kabisa!!!! Watu milion 70 si haba na zile mali asili!!!
 

weka gazeti hilo tutafsiri kilingala hapa
 
Hata mimi napenda alichofanya JK lakini asisahau kuchukuwa madini na mbao huko kulipia gharama tunazoingia wakati wa kutekeleza jukumu letu la kuwafanya Wakongo nao waishi na kuifurahia nchi yao kama binadamu wengine.

Hehehe na sisi tule kidogo unamaanisha?

Sisi tunataka biashara tu mkuu
 
kama kagama alidhani ukikomaa mashavu na uso ndiyo ujanja ataipata.
 
Salamu kwa Paul Kagame na bado tutavuka mpaka kutokea DRC natuingia kutokea Ngara na Kigoma!
 
kumbe unaweza kuandika magazeti ya udaku.
 
Safi sana JK bora kujiunga na DRC kibiashara kuliko hawa mapimbi wa Rwanda.

Mkuu Ritz. Wengi hawaelewi uchumi wa kisiasa-political economy kwa sasa unajengwaje. Wingi wa watu ni mtaji mzuri kiuchumi na ki masoko.Ukichanganya idadi ya watu wa Uganda na Rwanda hawafikii idadi ya watu wa DRC na hata natural resources zilizopo DRC ni nyingi kuliko combination ya resources za Rwanda na Uganda,pia DRC tuko nao SADC, hivyo kama tutasaidia amani ipatikane DRC tutaweza kufanya biashara kubwa kuliko tunavyofanya na Uganda na Rwanda kwa sasa.
 


Wacha bwana!!!!

Hizo habari utakuwa umezitoa kwenye magazeti ya Udaku.

Unajuwa maana ya Boflo? Yaani wewe unaliwa!
 

Kweli Nabii hasifiki numbani JK anakubalika sana nje.
 
hiyo ngoma ni moja kwa moja hadi Kigali. UN ilitoa saa 48 kwa m23 kujisalimisha la sivyo watapokonywa silaha. muda umemalizika na msako umeanza. baada ya goma safari kigali
 
Safi sana JK bora kujiunga na DRC kibiashara kuliko hawa mapimbi wa Rwanda.


Kwa hilo hapo red nakuunga mkono. Sina imani hata chembe na hiki kitu kinachoitwa EAC ambayo imejaa ma-opportunist na hii ni indicator nzuri kwa watawala wetu kuhusiana na suala la "kuharakisha" kinachoitwa "muungazo kamili" na hasa suala la umilikaji wa ardhi - ni hatari. DRC, Zambia, Malawi, Mozambique and far South are better friends than hao manyang'au wa EAC ambao tunapaswa kushirikiana nao simply kwa sababu ni majirani hivyo "hatuna jinsi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…