JK apanda chati DRC!!!

Magamba kwa kuanzisha
majiviwanda ya uongo tu hamjambo mbona JWTZ wapo busy kupiga na kubaka
watu huko Mtwara? au M23 ndo wapo mtwara siku hizi?

bila shaka wewe upo ulimwengu wa shetani. hivi ni kweli hujui kuwa majeshi yetu yapo DRC? au unajitia ukipofu tu? kama uliagizwa umpinge jk si kwa kila kitu. huo ni utumwa wa mawazo
 
mkuu, sifa za JK si za kuzipamba. ni watu wenye ufinyu wa fikra tu kama wewe ndo hawaoni uthaman wa JK. WAKONGOMAN ambao ndo wanateseka na madhila ya M23 wameona thaman yake kama ilivyotokea kwa comoro na madagascar

Mkuu huyo ni CHADEMA at work achana naye, hata hivyo lazima liwaumize sana wanaposikia JK anasifiwa na mataifa ya nje kwa vile walitegemea wakapige propaganda huko nje kuwa Serikali ya JK sasa wanaona mipango yao inagonga mwamba.
 
DRC ina watu millioni 70, ina madini, ina misitu... lakini inasumbuliwa na Rwanda yenye watu milioni 12? Hata ukijumlisha na milioni 34 wa Uganda, kweli ndio wa kuinyanyasa ncho kubwa namna hiyo?!!!
Kweli waafrica tumelaaniwa... si bure...

Tatizo ni kwamba wale wale waliokwenda kuisadia serikali ya CONGO kuwaondoa waasi ndiyo hao hao ambao Kagame aliwatumia wakaigeuka serikali so inakuwa vigumu sana hata ukiwa na jeshi kubwa kiasi gani bado itakuwa shida kwa vile siri zote wanauwa wanazijua.
 
Mkuu Ritz ni bora kujiunga na DRC yenye idadi kubwa ya watu kuliko EAC na ardhi ya kutosha.


Safi sana JK bora kujiunga na DRC kibiashara kuliko hawa mapimbi wa Rwanda.
 
Last edited by a moderator:
Boflo wallahi hilo boflo halinyweki hata kwa cahi ya maziwa yakheeeeee.
 
Last edited by a moderator:
Kikwete ni noooomaa, gusa unate. Salam kwa washari wote
 
Haya hayaaa March 23....kwa hiyo kifupi hapa ni kwamba Tanzania na Rwanda zipo vitani kwenye uwanja wa DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…