na kweli isije kuwa anatuuzia chai tu kimbwetani hapa!
karibu sana mwali!mwali upo??
niko nazurura tu kaa mtalii wa ndani na chubby wangu. n
nimepamisi mabwe ujue??
DRC ina watu millioni 70, ina madini, ina misitu... lakini inasumbuliwa na Rwanda yenye watu milioni 12? Hata ukijumlisha na milioni 34 wa Uganda, kweli ndio wa kuinyanyasa ncho kubwa namna hiyo?!!!
Kweli waafrica tumelaaniwa... si bure...
Gazeti gani ili ebu weka habari yote Boflo japo naona chumvi nyingii
*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!
*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!
*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!
*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!
*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!
*Wakimbia waacha silaha,vyakula!
*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma!
Magamba kwa kuanzisha majiviwanda ya uongo tu hamjambo mbona JWTZ wapo busy kupiga na kubaka watu huko Mtwara? au M23 ndo wapo mtwara siku hizi?
hivi JK mtamsifia hadi
lini, harafu mnatumia nguvu sana. Sifa huja zenyewe, angalia sifa
alizonazo filikunjombe kwani alitafuta mpiga debe??? Juzi wakazi wa
songea walikuwa wakimshangilia kila neno moja analosema tofauti kabisa
na waziri mkuu. Aliposimama filikunjombe wananchi walisimama na kuanza
kushangilia kama mkombozi kasimama.
Sasa nyie mnafanya kazi on empty.