Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

Hata angekabidhiwa mabegi, who cares. Mungu yuko upande wetu, hakuna alie juu yetu.
 
“I have received news of the death of Sheikh Yahya Hussein, who passed away today (yesterday) with sadness. The late Sheikh gained popularity in and outside the country for his gift of astrology and palmistry,” Kikwete said.President Kikwete requesting the deceased’s family members to receive the condolence message on the bereavement of their important family leader said:

“I understand the pain that you are going through at this moment when you have lost your beloved one. I know he was a parent, father, grandfather and guardian of so many people for the family. He has left a big gap that is difficult to be covered,” Kikwete said.
 
RIP Sheikh Yahya
Moja kati ya sifa nyingine ya Marehem ambayo wasio waislam hawaijui ni kuwa Marehem alikuwa ni mooja kati ya wasomaji wakubwa sana wa wa Qur'an na kuna kipindi alishinda mashindano ya kusoma huko Cairo. Ilibidi washindani wake waingine mitini

Ama kweli msikiti wa Mtoro na K tea shop ya mtaa wa Chagga watakumisss
Inallillahi wa Inna Illahi Raj'uun
 
Hapa kinachonisikitisha huyu mwanae Hussein ni kamanda wa CHADEMA na aligombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la kinondoni mwaka 2005 na mwaka jana 2010 aligombea Udiwani magomeni kata ya mzimuni kwa tiketi ya CHADEMA lakini kura hazikuosha.
Namshauri aendeleze yale mema tu ya baba yake, lakini hili la kufuga majini na kutoa tabiri za kuwajaza hofu Watanzania halikubaliki. kama kungekuwa na dawa ya kushinda uchaguzi kweli. basi huyu mwanae Sheikh ubwabwa angekuwa tayari ni mbunge au diwani kwa tiketi ya CHADEMA.
Nami najiuliza akiendewa na wateja zake...wanataka ushindi wowote sijui atawaambiaje? Ataweza au hatoweza?...lol.
 
Back
Top Bottom