JK angefanya hivi...nini kingetokea?

JK angefanya hivi...nini kingetokea?

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
7,472
Reaction score
7,276
obama & wife.jpg

Hivi kwa mazoea yetu waafrika, raisi wetu angemshika namna hii mke wake.....unadhani nini kingetokea?

...Mie naona mama angeshtuka!!! na kumnasa kibao mumewe palepale kwa kumdharirisha!..
 
Hata hapa Jf zingeibuka thread nyingi za kukosoa, we si umeona wakati wanaagana, Barack Obama alim kiss Salma Kikwete shavuni lakin Jakayahakufanya hivyo kwa Mama Sasha!
 
aiseeeeee babayangu baba mwanaisha labda jogoo awiki huwezi jua
 
Hamna bhana angeshtuka Tu na kumuuliza, Baba nanihii Leo umeota nini? Au tunakwenda kufa?

Angefanya kama alivyofanya Barack Hussein . mama angesema huo ni UCHURO!!! [ BAD OMEN!!!]
 
Hamna bhana angeshtuka Tu na kumuuliza, Baba nanihii Leo umeota nini? Au tunakwenda kufa?

yani nmecheka hapa mpaka basi kwi kwi kwi kwi kwi kwi wiiiiiiiiiii eti au tunakwenda kufa?:clap2::clap2::clap2:
 
Wamarekani wana utamaduni wao na sisi tuna wa kwetu
 
Back
Top Bottom