Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
- Thread starter
-
- #21
Ashaondoka?
Nasikia JK amerejea angani safari hii akiwa anaenda Davos. Kuna mtu ana details za hii safari?
Mbona mtoa mada kauliza kama kweli na nyie mnaconclude sasa ikiwa sio kweli je?
Sasa mkuu kama hakuna hela mwezi huu tutapata mishahara kweli au tuendelee na mgomo wetu mbele kwa mbel mkuu.subuutu!hakuna hela vile vihela walivyokopa kwa wachina kwisha!naongelea exprience nipo hazina
haiwezekani isiwe kweli, si wajua kwa JK safari ndo maisha bora?
subuutu!hakuna hela vile vihela walivyokopa kwa wachina kwisha!naongelea exprience nipo hazina
Kuna World Economic Forum Annual Meeting 2012
Sijui Huku JK anafata nini!
Wameshasema agenda kuu ni Eurozone crisis (Greece, Spain, Portugal, Italy etc).
Kila mwaka anaenda. Anarudi yuleyule.
Ni kama sisi tunavoshobokea semina mikoani tukaongeze vipato na maisha magumu haya.
Tupunguze assumptions jamani, wastage of time leteni evidence tuanzie hapo. GREAT THINKING
Probably Tanzania is part of Eurozone....maana hizi safari inawezekana zimeshatuunganisha na nchi za mashariki ya mbali badala ya East Africa.
madaktari wagoma,ulitegemea akatibiwe wapi?safari yake moja unaweza kulipa posho ya madaktari wangapi vile?