hakuna siku ninayotarajia kwamba Dr Slaa atamsifia Jk
Vipi mamaa bado una matongotongo asubuhi hii?! Mbona amemsifia? Labda huelewi tu, hizo zote ni sifa za rais wako! Au wewe ulishasikia mahali popote duniani rais anawasamehe watuhumiwa?! Wanasamehewa wafungwa siyo watuhumiwa. Huyu kawasamehe watuhumiwa na ameshindwa hadi leo kuwaweka hadharani... si wasaidizi wake walishakiri hao wezi wanaogopwa?! HIZO NDO SIFA ZAKE, TULIA ZISEMWE HADHARANI... Ila mkiona anasingiziwa mseme, siyo vizuri kumsingizia mtu ati.hakuna siku ninayotarajia kwamba Dr Slaa atamsifia Jk
Well said my president Dr Slaa
Amsifie kwa lipi? au ni kwa ujenzi wa barabara; zana za kijeshi; mchakato wa katiba ambao haukuwa kwenye ilani ya CCM; kwa safari nyingi za nje zisizokuwa na tija; kwa kukopa benki ili kulipa wafanyakazi hata baada ya TRA kukusanya kodi kwa kiwango "kikubwa"! Kwa hiyo unataka amsifie kwa lipi?hakuna siku ninayotarajia kwamba Dr Slaa atamsifia Jk
Vipi mamaa bado una matongotongo asubuhi hii?! Mbona amemsifia? Labda huelewi tu, hizo zote ni sifa za rais wako! Au wewe ulishasikia mahali popote duniani rais anawasamehe watuhumiwa?! Wanasamehewa wafungwa siyo watuhumiwa. Huyu kawasamehe watuhumiwa na ameshindwa hadi leo kuwaweka hadharani... si wasaidizi wake walishakiri hao wezi wanaogopwa?! HIZO NDO SIFA ZAKE, TULIA ZISEMWE HADHARANI... Ila mkiona anasingiziwa mseme, siyo vizuri kumsingizia mtu ati.
Dr Slaa bhana,asa alitegemea JK atoe majina na wakati na lake JK na la mtangulizi wake lipo?hahahaha hata ningekuwa mie ningejisamehe tu,
viva JK, viva to Wizi
Napita tu...hayo ya Dk Slaa na JK wananchi ndo wataamua