‘JK anavunja Katiba’

hakuna siku ninayotarajia kwamba Dr Slaa atamsifia Jk

sasa kama muandishi alimuuliza shawili hilo angejibu nini? najua yako mazuri yua JK, nadhani hayo kama lingekuwa ni Uhuru wanafanya interview ungeyapata hukoooo, sio ka mwanahalisi
 
hakuna siku ninayotarajia kwamba Dr Slaa atamsifia Jk
Vipi mamaa bado una matongotongo asubuhi hii?! Mbona amemsifia? Labda huelewi tu, hizo zote ni sifa za rais wako! Au wewe ulishasikia mahali popote duniani rais anawasamehe watuhumiwa?! Wanasamehewa wafungwa siyo watuhumiwa. Huyu kawasamehe watuhumiwa na ameshindwa hadi leo kuwaweka hadharani... si wasaidizi wake walishakiri hao wezi wanaogopwa?! HIZO NDO SIFA ZAKE, TULIA ZISEMWE HADHARANI... Ila mkiona anasingiziwa mseme, siyo vizuri kumsingizia mtu ati.
 
Dr Slaa anajuana na Dr Kikwete kwa kila wanalofanya. Ni sawa na nchi zenye vita unakuta kiongozi wa waasi anakaa kujadili meza moja na rais. Kama ni maadui kweli hawawezi kutana, zaidi wakikutana wanapanga namna ya kuendelea kuua.
 
hakuna siku ninayotarajia kwamba Dr Slaa atamsifia Jk
Amsifie kwa lipi? au ni kwa ujenzi wa barabara; zana za kijeshi; mchakato wa katiba ambao haukuwa kwenye ilani ya CCM; kwa safari nyingi za nje zisizokuwa na tija; kwa kukopa benki ili kulipa wafanyakazi hata baada ya TRA kukusanya kodi kwa kiwango "kikubwa"! Kwa hiyo unataka amsifie kwa lipi?
Wacha Dr wa ukweli azungumzie hayo. kama wewe una la kumsifia JK andika kwenye jamvi hili, ni haki yako!
 
Vipi mamaa bado una matongotongo asubuhi hii?! Mbona amemsifia? Labda huelewi tu, hizo zote ni sifa za rais wako! Au wewe ulishasikia mahali popote duniani rais anawasamehe watuhumiwa?! Wanasamehewa wafungwa siyo watuhumiwa. Huyu kawasamehe watuhumiwa na ameshindwa hadi leo kuwaweka hadharani... si wasaidizi wake walishakiri hao wezi wanaogopwa?! HIZO NDO SIFA ZAKE, TULIA ZISEMWE HADHARANI... Ila mkiona anasingiziwa mseme, siyo vizuri kumsingizia mtu ati.

Ni kweli hizo ndo sifa za JK! amsifie vipi zaidi na ukweli kumhusu ndo huo?
 
Duh...huyu jamaa kweli ana-point. Na wengi huku hamjaiona mdai ni ugomvi binafsi. Kwani kikwete amekuwa Mungu mpaka aweze kusamehe makosa? Tatizo watu hata hamfikirii, mnampa mtu madaraka asiyokuwa nayo! Full ujinga!
 
Back
Top Bottom