JK anasa Marekani!!

Nakubaliana nawewe kwani JK au sanamu ya Rostam Aziz kuwepo kwake na kutowepo kwake hakuna tofauti.Labda watakaathirika ni rafiki zake.Kwani nimefuatilia anapokua hapa nyumbani sehemu nyingi anazohudhulia ni Harusi graduation za watoto wa marafiki zake ubatizo,maulidi cha kusitisha vyote hivi vinaonyeshwa pichani nafikiri kma si kumzuia angeomba u-MC katika sherehe mbalimbali TUNAKAZI !MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…