JK anaelewa anachokisoma kweli?!!

JK anaelewa anachokisoma kweli?!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Kikwete.jpg


Elimu ya msingi sasa ni miaka kumi - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
Pozi la picha tu hilo, hakuna msomaji hapo
 
Kama katiba ya nchi anaipigia debe wala hajawahi kuisoma, itakuwa sera? Hana maana huyu jamaa. Ninaomba raisi ajaye kazi ya kwamza ni ku review mifuno aliyoua huyu mzururaji ikiwemo na elimu ili turudi kwenye mstari kabla hatujajifukia kaburini.
 
Miradi mikubwa kama Sera ya elimu ya taifa pamoja na katiba pendekezwa yaonekana dhahiri kufeli hata kabla ya kutumika au kupigiwa kura ya maoni. Prof. wetu wa kichina pamoja na serikali yake wajipime kwa dhati kama viatu vya kuongoza nchi vinawatosha! Isiwe akili ndogo kuongoza akili kubwa! Ni fedheha.
 
Hii sera ni urithi atakaowaachia UKAWA watekeleze?
 
Back
Top Bottom