JK amtaabisha Nape

JK amtaabisha Nape

Hao ni wahuni wote hawana lolote, ccm kimeshakuwa cha wapiga dili, sasa kiko mkono mwa kikwete na wahuni na wapiga dili wengine wanamezea mate, 2015 lazima ccm isambaratike.
 
Chama hakina "collective responsibility", kila mmoja anafanya anachoona yeye.

Hivi hawa watu wanakaa kwenye vikao na kujadili mambo pamoja?
 
Nape hawezi kujiudhuru kwa kuwa yeye ni binadam dhaifu tena hana sifa ya kuajilika wala hawezi kujiajili. Vyeti vyenyewe vya kuungaunga
 
Back
Top Bottom