punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Mkuu, kama kuna mtu ataamini hiki ulichoongeza hapa na kukichukua kuwa hayo ni makabila utakuwa umefaulu kumpotosha pakubwa! Kuna 'kabila' na 'koo' Kwenye ile post yako nyingine umesema wajaluo ni kabila moja tu! Halafu hapa unataja 'koo' za kikurya na kuzipa hadhi ya kabila! Ikiwa uko sahihi, basi na wajaluo watakuwa na 'makabila' mengi mno.... maana na wao pia wana koo nyingi mno.Rejea kwenye mchango wangu nimesema kuwa "mkoa una makabila yafuatayo ambayo ninayakumbuka. Sasa kwa kuwa umelikumbuka la Wazanaki wewe ongezea humo humo maana mimi sikulikumbuka na mbali na hayo yapo mengi tu nimeyasahau mfano Wanyichoka, Waancholi,Wachira so in short Mara ndo mkoa unaoongoza kwa kuwa na makabila mengi sana kwa hapa Tanzania