WTZ wachache hawajui maana ya demokrasia. JK ndiye Rais, wataka, wasitake.
Ni ujinga kukaa na kuandika ktk Facebook, JF, kwamba JK ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda.
Ni ujinga kumlaumu Rais kwa matatizo yote ya nchi.
Kumbuka,Nchi haijengwi na mtu mmoja. Uchaguzi ushapita, Let's Move On.
WTZ wachache hawajui maana ya demokrasia. JK ndiye Rais, wataka, wasitake.
JK alishinda uchaguzi TZ. Keshaapishwa kuwa Rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni Rais wa TZ.
Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, Let's Move On.
Ni ujinga kukaa na kuandika ktk Facebook, JF, kwamba JK ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda. Ni ujinga kumlaumu Rais kwa matatizo yote ya nchi.

sasa huo ni ubabe coz nguvu ya umma ikikataa hakuna jinsi.
jk alishinda uchaguzi tz. Keshaapishwa kuwa rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni rais wa tz.
Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, let's move on.
Ni ujinga kukaa na kuandika ktk facebook, jf, kwamba jk ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda. Ni ujinga kumlaumu rais kwa matatizo yote ya nchi.
Kumbuka,nchi haijengwi na mtu mmoja. Uchaguzi ushapita, let's move on.
Kweli cha moto anakiona naona ameshindwa hata kwenda London imebidi Balozi aje Tanzania kumuona. Mr President you can run but you can not hide. Maswali mazito yanakusubiri ukitoa mguu tu hapo airport. Mwaka huu hakuna kulala!
JK ajiuzulu kwa sababu gani? Ameshinda uchaguzi na yuko imara! Wanaosema ajiuzuru wanatumia ubongo ulio kwenye makalio kufikili na bila shaka ni wazee wa maandamano pipozi pawa! Hovyo kabisa!JK alishinda uchaguzi TZ. Keshaapishwa kuwa Rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni Rais wa TZ.
Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, Let's Move On.
Ni ujinga kukaa na kuandika ktk Facebook, JF, kwamba JK ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda. Ni ujinga kumlaumu Rais kwa matatizo yote ya nchi.
Kumbuka,Nchi haijengwi na mtu mmoja. Uchaguzi ushapita, Let's Move On.
nadhani wewe ndio mjinga fikiri kwanza kabla ya kuandika
1. Rais anatakiwa na umma kuwafikisha wauaji waliokiri kuua arusha -mahakamani kama alivyomfikisha zombe kufanya hivyo ni kuheshimu utawala wa sheria. Akikaa kimya manake yeye ndio aliwatuma kuua raia waliokuwa wakitumia haki yao kikatiba na ni double standard kama zombe alifikishwa mahakamni vipi hawa? Unataka watu wasiandike wewe zezeta kweli -yaani *****
2. Dowans ni matapeli matupu -unataka watu wasiandike wakati tunamgao tusiojua utaisha lini wakati mawaziri wake mweyewe wanapingana? Hivi kweli wewe una akili kuita wenzio wajinga?
3. Katiba mpya -imeruhusu uchakachuaji na kura kutangazwa kwa mabomu, imeruhusu mafisadi kuongoza nchi halafu unataka watu wasiandike hivi kweli wewe ni mtanzania? Nyamafu mkubwa wewe
4. Mikataba na ufisadi wa hali ya juu-unataka watu wasiandikae -unataka wafanye nini huku nchi inaangamia wewe kima? Bora usiandike ishu mbovu kama hii nadhani kila atakayekujibu atalazimika kutumia maneno makali.
[/QUOTE]QUOTE=John10;1493856]JK alishinda uchaguzi TZ. Keshaapishwa kuwa Rais. Nchi zote zinamtambua kwamba ni Rais wa TZ.
Watanzania tuache majungu yasiyo na msingi. Siasa za vijiweni hazijengi nchi, Let's Move On.
Ni ujinga kukaa na kuandika ktk Facebook, JF, kwamba JK ajiuzulu kwa sababu chama fulani hakikushinda. Ni ujinga kumlaumu Rais kwa matatizo yote ya nchi.
Kumbuka,Nchi haijengwi na mtu mmoja. Uchaguzi ushapita, Let's Move On.
That's all you got?Kura alizopewa..kura alizopewa!Ukweli ni kwamba,kura zilizopigwa na WTZ ktk uchaguzi wa 2010. Na ktk hizo kura, ni JK ndiye aliyechaguliwa na WTZ.
Kuna institution ambayo ndiye yenye mamlaka ya kupeleka watu mahakamani na si Rais. Acha Rhetoric fuata sheria za nchi. Si kazi ya Rais kupeleka watu mahakamani.