JK akutana na Wabunge wa CCM

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
199
Habari nilizozipata hivi sasa ni kwamba Rais JK anakutana na wabunge wote wa CCM pale Ubungo Plaza. Haijajulikana kinachozungumzwa na waandishi wamezuiliwa. Tuombe mungu mmoja wa wabunge hao awe mwana JF ili japo atujuze. Mie kwa sasa uwezo wa uchunguzi wangu umeishia hapo.
 
Yaweza kuwa kweli nimepishana na msafara mkubwa mkaeneo ya manzese
 
mipango ya kujenga hoja za utetezi wa dowans bungeni pamoja na ufisadi wao.anawapiga mikwara na kuwaziba midomo ili wasiharibu mipango yake na wenzake akina rostam.
 
Lengo ni kuwapa angalizo kuwa inapofikia hatua fulani wapinzani wakiibana CCM basi hapo ni muhimu kuvunja makundi kwa maslahi ya chama. Halafu hii tabia ya kuzuia waandishi wa habari ndiyo inayosababisha kuandika habari zisizo na ukweli kwa kuelemea vyavyo visivyo na uhakika.
 
Kwa wale waliowanasheria wanaweza kutusaidia hii inakubalika kuitisha mkutano na baadhi ya wabunge ikijumuishwa na spika wa bunge bila kuwaita waandishi wa habari ukizingatia bunge ni muhimili wa dola unaojitegemea na rahisi pamoja na waziri mkuu ni muhimili mwingine. sijui hata kwa kanuni za bunge hii imekaaje? hasa hasa HAKI KINGA NA MADARAKA YA BUNGE.
Habari nilizozipata hivi sasa ni kwamba Rais JK anakutana na wabunge wote wa CCM pale Ubungo Plaza. Haijajulikana kinachozungumzwa na waandishi wamezuiliwa. Tuombe mungu mmoja wa wabunge hao awe mwana JF ili japo atujuze. Mie kwa sasa uwezo wa uchunguzi wangu umeishia hapo.
 
DOWANS KABURI LA DHAHABU KWA CCM NA MAFISADI WAKE WOTE:

Kwa maoni yangu: Dowansi ni KABURI LA DHAHABU kwa CCM na Mafisadi wote nchini lililoletwa na Mwenyezi Mungu kutuokaa jumla Watanzania baada kusikia kilio chetu cha dhati dhidi ya dhuluma nyingi chini kwa miaka mingi.

Jamani kweli Mungu yupo, hasinzii wala hapuuzi hata sauti zetu sie akina Matonya wa ulimwengu huu!!!

Watanzania, Mungu yupo na anatupenda sanaaa hivyo tuache kumkasirisha kila mara kwa kukubali mtu kutugawanya kwa misingi ya imani zetu!!!
 
Ni kwa maslahi ya ccm na si maslahi ya nchi. Yaani hawa jamaa washaona kuwa hii nchi ni yao na si ya watz wote!
 
Kwa wale waliowanasheria wanaweza kutusaidia hii inakubalika kuitisha mkutano na baadhi ya wabunge ikijumuishwa na spika wa bunge bila kuwaita waandishi wa habari ukizingatia bunge ni muhimili wa dola unaojitegemea na rahisi pamoja na waziri mkuu ni muhimili mwingine. sijui hata kwa kanuni za bunge hii imekaaje? hasa hasa HAKI KINGA NA MADARAKA YA BUNGE.
Ni kosa la jinai viongozi wa umma kukutana wakizungumzia maswala ya umma na waandishi wa habari wazuiliwe HAKI YAO YA KUPATA HABARI 'ON REAL TIME' mpaka kuja kuchakachuliwa baadaye.

Hata hivyo, wala sipati shaka maana zaidi ya nusu ya wabunge wa CCM ni wapiganaji wetu na 1/8 yao inayojua kutumia computer na mitandao mengine ni wana JF.

Tuvute subira kidogo tutapata taarifa kamili hata kabla ya wenye vyombo vya habari wenyewe na kufahamu kiundani kilichojiri kule WALIKOKWENDA WABUNGE WA CCM KULA TUSHENI ya namna ya kujieleza bungeni.
 
Nilipopiga msitari umezidisha ushabiki..viongozi wa umma wanakutana kila siku bila waandishi wa habari..hiyo ndio secular

Viongozi wa umma hawafanyi kazi kwenye taasisi za habari, wakiomba habari hupewa...na wao si sehemu ya mkikutano yao

Hata viongozi wa vyama hufanya hivyo pia upo!
 
Back
Top Bottom