JK akiombewa na wachungaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK akiombewa na wachungaji

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kipaji Halisi, Jan 13, 2012.

 1. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Wachungaji wa Kanisa la FCPT...wakimuombea Rais JK na nchi pia kuwa na Amani na Utulivu..

  picha zaidi IssaMichuzi.blogspot
   

  Attached Files:

 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  nI JAMBO JEMA SANA!
  Amani kidunchu ya nchi hii inasababishwa na Watumishi wachache wanaokesha kuiomba kwa Mungu!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  very strategic........ukiomba bila kuweka picha mbele, nani atajua kwamba unamuombea mkwerre?.
  ili kuuza sura..........lazima washikile picha, yani wanaiombea picha!!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,424
  Likes Received: 19,747
  Trophy Points: 280
  Kweli kuna umuhimu wa kumuombea tena sana
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kwakweli. azidi kumbewa. mapepo yamtoke kama yapo. Mia
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Jk pepo lake haliwezi na wachungaji, Jk pepo lake linaitwa makata hili ni pepo baya humfanya mtu kuwa kama mwendawazimu katika mambo yake, pepo lake linafaa kuondolewa kwa nguvu ya umma ikiwezekana tuchukue na nyundo tugonge kichwa yake. Pepo makata ni baya sana
   
Loading...