JK Akimtambulisha Lowassa kwa Obama

JK Akimtambulisha Lowassa kwa Obama

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Hapa JK akimtambulisha next president wa TZ ndugu Lowassa kwa Obama.. JK ni kama alijua Lowassa atakuwa nan.
 
Attachments

  • 1444803136014.jpg
    1444803136014.jpg
    18.8 KB · Views: 2,891
Hehehe Jamaa yako alikuwa anajipendekeza kwa kikwete kila mara anapopata nafasi kukaa karibu nae lazima apige picha na kuiuza kwenye Media .Kikwete akashituka ..akamkacha.Kwa Heri Lowassa ..tulikuamini ukatuibia
 
Acha akili za magamba wewe.
 
Nilifikiri anamtambulisha kwa Mungu, kumbe ni binadamu mwenzake!
 
Sababu Obama ana taarifa tayari keshajua Raisi ni Lowassa
 
Wakina Makofuli so ndo walishikwa manyoso aka makalio na tule tucoplo twa kimarekani wakati was kuingia magogoni muulize Nyaronyo Mwita Kicheere
 
Back
Top Bottom