MrNSSF
Senior Member
- Mar 17, 2011
- 136
- 73
Ingekuwa uwezo wangu, basi hawa wanaopeana mikono wangebadilishana nafasi zao. Kwani vyeo vyao na utendaji wao ni opposite kabisa.
Na zawadi waliopata NSSF ni kwa kuwawezesha wakandarasi na wahandisi wadogo wadogo...in short NSSF inaongoza kwa UZALENDO na ndio maana hata rais ametambua mchango wake