JK aizawadia NSSF kwa mchango kwenye ujenzi

MrNSSF

Senior Member
Mar 17, 2011
136
73
HE+JK.JPG



MICHUZI: JK Aizawadia NSSF kwa Mchango katika ujenzi
 
Mkuu Mbona ulikimbia thread yako ya kujibu maswali ya ujenzi wa Daraja la kigamboni.

Na hiyo zawadi inahusika pia na ahadi zenu za kujenga daraja la kigamboni mshakuwa kama kikwete Rais wa ahadi kama yule wa Malawi.

Nasikia Miradi ya nssf gharama zake hazina tofauti na za Liyumba ikiwa na maana itaanza kupata faida baada ya miaka 100 to 150
 
Anayesema kulikuwa na malalamiko kuhusu mradi wa UDOM ni mwongo

Hakuna hata mmoja aliyelalamika kuhusu idara ya miradi NSSF
 
Na zawadi waliopata NSSF ni kwa kuwawezesha wakandarasi na wahandisi wadogo wadogo...in short NSSF inaongoza kwa UZALENDO na ndio maana hata rais ametambua mchango wake
 
Na zawadi waliopata NSSF ni kwa kuwawezesha wakandarasi na wahandisi wadogo wadogo...in short NSSF inaongoza kwa UZALENDO na ndio maana hata rais ametambua mchango wake

Rais gani? Huyo Fisadi unasema ndio anajuwa michango ya Wazalendo? angekuwa mzalendo wasingetuingiza kwenye mikataba ya kipumbavu na kuacha Wakandarasi wazawa wakihangaika bila ya msaada wa serikali kukuza vipaji vya Wakandarasi wazawa. Angekuwa anatambua Uzalendo asingegawa ardhi yetu kama karanga, angekuwa anajuwa Uzalendo Serikali yake legelege isingekuwa inawakumbatia wala Rushwa, angekuwa Mzalendo asingekubali kuhongwa Suti. Tena umwambie kuwa Siku CCm ikitoka Serikalini ajisalimishe mwenye Polisi katika kituo chochote kilicho karibu nacho na kufunguliwa Mashtaka ya Abuse of Office na Corruption
 
Back
Top Bottom