Kwa kweli me hawa ccm hata cwaelewi cause kila wanapofanya mikutano yao lazima waombee watu kuja kuhudhuria mikutano yao, juzi kati hapa alikuja mwenyekiti wa maghambani kwenye uzinduzi wa barabara itnkayo geita hadi mwanza kupitia kivuko cha busisi, aisee watu wa mwanza mjini hawakutokea jamaa walivyoona hali mbaya wakatuma mabasi sengerema na geita kuwapeleka watu kwenye mkutano, kwa macho yangu niliona watu wanapewa kofia na tsht za ccm na buku mbili ili kuwashawishi.
kama hiyo si rushwa basi hakuna rushwa Tanzaniahivi hiyo siyo rushwa..
Ni takrima...hivi hiyo siyo rushwa..
hivi hiyo siyo rushwa..
Kwa kweli me hawa ccm hata cwaelewi cause kila wanapofanya mikutano yao lazima waombee watu kuja kuhudhuria mikutano yao, juzi kati hapa alikuja mwenyekiti wa maghambani kwenye uzinduzi wa barabara itnkayo geita hadi mwanza kupitia kivuko cha busisi, aisee watu wa mwanza mjini hawakutokea jamaa walivyoona hali mbaya wakatuma mabasi sengerema na geita kuwapeleka watu kwenye mkutano, kwa macho yangu niliona watu wanapewa kofia na tsht za ccm na buku mbili ili kuwashawishi.
Hapo unabisha nini?aibu kwa yote,hivi huyo bwana wenu hajafa kwenye ajali ya jana?hilo la ccm kugawa sh.2000 linahucanaje na aibu ya kikwete?au kwasababu ni mwenyekiti wa ccm?i think ingekuwa better kama the heading ungeichange ili ilete maana rahic kwa wasomaji
Sijaona Aibu ya Mh. Rais katika allegations ulizoweka aibu ni kuwapelekea wafuasi wa CCM waliombali mabasi .. ama tatizo kuwapa kofia na T-shirts ili wavae sare ...!? ama aibu ni kuwapa buku mbili wafuasi wa CCM ..?
hilo la ccm kugawa sh.2000 linahucanaje na aibu ya kikwete?au kwasababu ni mwenyekiti wa ccm?i think ingekuwa better kama the heading ungeichange ili ilete maana rahic kwa wasomaji