JK afungua warsha ya maendeleo

JK afungua warsha ya maendeleo

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,571
JK AFUNGUA WARSHA YA MAENDELEO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.
Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wakuu wa serikali pamoja na wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.


PICHA NA IKULU
 
natamani gharama waliotumia ingeendana na uzalishaji unaotokana na warsha hii.
 
Me bhana,nimechoka kusikia hizi warsha na semina elekez,hazina tija kabisa,,,,,,
 
  • Thanks
Reactions: FJM



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wakuu wa serikali pamoja na wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.

PICHA NA IKULU

Uwepo wa Spika wa bunge kwenye hiyo picha/seminar unaharibu kabisa taswira ya bunge. Spika anafanya nini kwenye mafunzo ya 'executive?
 
Hii ni SEMINA ELEKEZI ambazo alinza kuzitumia tangu 2005 na ndiyo zilizo pelekea taifa kuoza.
Asitufanye wajinga.
 
Back
Top Bottom