JK: Actions needed to end violence against women


Sheria zetu zenyewe hazijitoshelezi kukabiliana na hili tatizo
 
Hakimu nakunywaga naye bia pale Hongera Bar....

:shock::shock:
tutafika kweli...lol!! mnanunuliana heineken huko mkija mahakamni tunaambiwa rudini mkayamalizie nyumbani...mweeh
 

Sheria zilizoandikwa ovyo ovyo hivi zitatulindaje?
 
Reactions: bht
mimi naona watoe kichapo kama wale wanawake wa Kenya
 
Reactions: bht
heeee hiyo nayo inategemea mbavu za huyo mwanamke lol....😛oa:lol:

Wakiwapa kichapo wawafikishe kwenye vyombo vya sheria ili watusaidie kuiweka sawa system yetu kwenye suala hili la unyanyasaji

Mawakili na majaji wakinyanyaswa inaweza ikasaidia kuandikwa kwa sheria nzuri zaidi :A S embarassed:
 
hahahahaa
inategemea, nikipata mnyonge wangu na mimi namtandika

Na ukipata mbabe wako niite, nna green belt ya karate...chop moja tu kwenye shingo makutano mengine yatakuwa mahakamani
 
Reactions: bht
Na ukipata mbabe wako niite, nna green belt ya karate...chop moja tu kwenye shingo makutano mengine yatakuwa mahakamani

heheheee haya sasa maneno 😛oa
na huko mahakamani tukienda ndo tunaanzisha mapinduzi na mabadiliko ya sheria.
 
Hakuna mwanamke anayeonewa Tanzania ..

Umaskini tu ndio tatizo letu wote (wanaume na wanawake)

Hizo kelele za TNGP na JK ni kwamba wanaomba pesa za donors..hamna issue hapo..
 
Hakuna mwanamke anayeonewa Tanzania ..

Umaskini tu ndio tatizo letu wote (wanaume na wanawake)

Hizo kelele za TNGP na JK ni kwamba wanaomba pesa za donors..hamna issue hapo..

Really as in really?
 
Really as in really?
Mengine unapotezea tu mwaya. Sasa kama hapo unaanzia wapi kujadiliana?
Please refer to your signature and just smile at this... lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…