JK aagiza majangili yauwawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aagiza majangili yauwawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 31, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Wanajamvi: Hii imekaaje? rais atoa agizo la kuwauwa majangili? Huu kweli ni utawala wa sheria? Au amenukuliwa vibaya na gazeti hilo la RA?  Rais jakaya kikwete ameagiza wizara ya maliasili na Utalii iwadhibiti majangiliu katika hifadhi za taifa, na ikibidi kuwauwa.


  Rais Kikwete akitoa agizo hilo wakati wa ziara yake katika wizara hiyo juzi (Jumanne) ambako pamoja na mambo mengine, alionyesha kukerwa na ujangili (poaching) nchini……..

  Habari zaidi katika Mtanzania ya leo (Thursday).
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Waanze na majangili katika suti na briefcases wenye kupora nchi ambao kwa bahati mbaya sana tunakaa nao hadi ndani ya bunge letu Dodoma.
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280

  Utawala wa sheria wanaujuwa wakati wanatakiwa kuwalipa Dowans tu. Hajui kuwa ujangiri unasababishwa na hari ngumu ya maisha vilevile.
   
 4. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama rais ana uwezo wa kuhukumu moja kwa moja kihivyo, mahakama za nini basi. nadhani anatapatapa baada ya kuona nchi imemshinda sasa anasahau hata majukumu yake. Aanze kuwauwa mafisadi wote wanaopora mali za umma na kuwaacha watanzania masikini wa kutupwa, nabaadae awasake majangili.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Halafu nasikia kuwa aliyeiandika hiyo stori ni mwandishi yule yule -- Rosemary --ambaye wiki iliyopita aliandika makala katika Mtanzania kwamba JK alikuwa ameshindwa kazi. Uongozi wa kampuni ulimpa onyo kali na wahariri kuambiwa wasikubali makala au stori zenye kumlenga JK binafsi.

  Na ifahamike kwamba stori hii ya leo ya JK kuagiza majangili wauwae haikuandikwa katika gazeti lolote lingine. Yawzekana amenukuliwa vibaya -- au ajenda ya siri?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Naomba niendel off topic kidogo

  Majangiri sio watu na ni vizuri wauwawe, hakua cha utawala wa sheria wala nini!!!
   
 7. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pinda alishasafisha njia !
   
 8. A

  Ame JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  What if wakiwapeleka watu huko na kuwa ua kwakisingizio cha ujangili? Zobe's style Just thinking loudly!
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Auawe kwanza yeye jangili namba moja
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Hamkumbuki kwamba Bunge letu TUKUFU lilishapitisha sheria ya kuua watu wanokutwa kwenye mbuga za wanyama?
   
 11. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,155
  Trophy Points: 280
  Hata wanaoenda Loliondo?
   
 12. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  sio haki, kuuwa binadamu kwa kosa la kuwinda kitoweo porini.
  Sheria ikimtia hatiani jangili ni kifungo cha miaka 3 jela. sasa kwa kauli hii rais atakuwa amehalalisha mauaji ya watu kwa kisingizio cha ujangili
  Tukumbuke Pinda aliwahi kutoa agizo la kuuwa wauaji wa maalbino, lakini kauli yake
  Ilimfanya atoe machozi bungeni kwa kusolewa vikali.
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Story ya kupika hii
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo na yeye auwawe maana inasadikika kaiba kura na kuiba kura is as good as ujangili
   
Loading...