Mkuu Mshana hiyo ni chemistry ambayo wazee wetu waliitumia nadhani bila wao kujua ni nini hasa kilikuwa kinatokea ni kama walivyokuwa wakibeba ndoo kichwani,ukiweka zinga/kata maana yake unapunguza pressure kwa kuongeza surface area ya kichwa,au unapopuliza moto unaongeza supply ya oxygen,back to Jiwe la nyoka japo siwezi kukumbuka vizuri maana elimu niliyokuwa napewa ilikuwa informal kidogo ,lile jiwe ni strongest reducing au oxidizing agents ambalo hutumiwa kureduce au kuoxiidiz sumu toka mwilini(sikumbuki vzuri) na kama sikosei lile jiwe potassium permanganate na watu wa chemistry mnajua ina oxid state ya +7