KibitiWale waliokuwepo miaka ya 80-90 nadhani wanakumbuka vizuri juu ya hii zana maarufu iliyotumiwa na majambazi katika kuvunja milango.Najiuliza hivi matumizi ya hii zana yamedhibitiwa au majambazi wame-advance na kuhamia kwenye matumizi ya zana nyingine.Maana enzi hizo ukiwa na radio [emoji343] au TV [emoji342] lazima jiwe fatuma likuhusu.
Siku hizi hawabebi hayo madude tech imekuwaWale waliokuwepo miaka ya 80-90 nadhani wanakumbuka vizuri juu ya hii zana maarufu iliyotumiwa na majambazi katika kuvunja milango.Najiuliza hivi matumizi ya hii zana yamedhibitiwa au majambazi wame-advance na kuhamia kwenye matumizi ya zana nyingine.Maana enzi hizo ukiwa na radio [emoji343] au TV [emoji342] lazima jiwe fatuma likuhusu.
Mh mhmmmm mbona umekumbuka ulikua ukiyatumia au....
Huku mjini watu wameadvance labda kijijiniNilisikia vijijini bado ni technology kubwa ambayo ipo hot sana katika masuala ya ujambazi.
Haya ni mafatumaHayo ni madhara yake nikipata picha yake nitaiweka.