Prof Kibogoyo
Senior Member
- May 31, 2016
- 112
- 164
Asante kwa ushauriHILO LITAKUWA NI MADINI FULANI NENDA KWENYE VIPIMO KALIPIME UJUE NI NN
Kama hujui Kaa kimya mzeeMtaokota na majini
au volcano glasslinaitwa Obsidian glass
Ohooooo!!!Mtaokota na majini
Kazi yake nini mkuu, na lina faida ganiau volcano glass
linaitwa Obsidian glass
Mkuu ungelitolea maelezo kidogo.au volcano glass
Tafadhali soma posti yangu namba 10 na uifanyie kazi sasa hivi kabla sijaanza kunywa biaKazi yake nini mkuu, na lina faida gani
Obsidian??? Kaka shikamoo.linaitwa Obsidian glass
luster yakeObsidian??? Kaka shikamoo.
Nipe vigezo mpaka ukasema obsidian??
Msaada, mwanangu kaokota ili jiwe, nimeshindwa kuelewa ni jiwe la namna gani, kuna kiini ndani yake, ukilegeuza jiwe nacho kinageuka.
Nimeona nisilitupe yazekana ni Mali, ebu wataalum niambieni:View attachment 487485View attachment 487486
Achukue video kabisa, tuone hicho kiini kinavyo geukahebu lipige picha vizuri, lisionekane kwa ukaribu sana, make sure lionekane clear.
Ohoooooo!!!Kuna harufu ya utapeli hapa...
Kama anapigaaa kumbe anafinya..{in mbwigas voice} ...acha nikimbie.