Jiunge na Jeshi la Uingereza

Asante mkuu... Ngoja ni apply huenda nikawa msaada badae kuimboa keybeat

hahahaha hautoikomboa bali watakutumia hao WEUPE ili utumalize kabisa sababu unaijua Tanzania vilivyo... Na hutoweza kuwakwepa kutokana na viapo ulivyokula na masharti yao uliyopewa..
 
Wanatafuta cheap labour ya kupigana na IS!

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
It's a very straight ford thing , I saw Ghanians been recruited long time and once you get citizen ship you can add your parents in to it.
Sure, I also heard to friend of mine that his friend got to be there.

They need someone residing in U.K as a sponsor to applicant(must).

Furthermore, you need to stay in U.K for 6 months while your application being processed.

Hapo ndipo difficulties zinapojitokeza kwa mtoto wa kwa mtogole.
 
There are quite few Tanzanias who reside in the U.K. the problem is the majority of them are known as wa-Rundi or Rwandese in the system.
 
There are quite few Tanzanias who reside in the U.K. the problem is the majority of them are known as wa-Rundi or Rwandese in the system.
Kwa kijana mwenye mtu wa namna hiyo huko hii ni fursa atume maombi.

Kwamba hao Watanzania wa-rwanda walitumia opportunity ya ukimbizi wa Rwanda! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1]
 
Kwa kijana mwenye mtu wa namna hiyo huko hii ni fursa atume maombi.

Kwamba hao Watanzania wa-rwanda walitumia opportunity ya ukimbizi wa Rwanda! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji1]
Kuna dada mmbongo alipata boyfriend mzungu akamwambia Mimi nimetoka Rwand ili asikosee madesa, mzungu alifahamu familia ya ta rands w kweli alifanya kazi na jamaa, akamwambia nimepata girlfriend kutoka Rwanda mwaliko ukafanywa mdada kinyarwanda hakijui wala mitaa ya Rwanda, ilibidi awe mkweli, ukweli ulipotoka mzungu kamwaga manyanga. Kwao uwongo ni issue.
 
Ndugu yangu unatakiwa uwa ambia ukwel sio emeona commonwealth countries basi umejua ndio itakuwa rahisi watu wata apply hta Huko TZ.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Duuh. Pole zake
Shida kweli.
 
Wanaandaa team yakwenda kumtwaga kiduku. Nawaza tu kwa sauti
 
Kidhungu

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…