Hayo magumu sana kiongozi, tuanze na yale mepesi kwanza....TUMETOKA WAPI? TUPO SEHEMU SAHIHI TULIPO SASA? TUNAELEKEA WAPI?
Kama ni safari ya gari, DEREVA ana LESENI halali? AMEIPATAJE? Kanuni na miiko ya safari inajulikana kwa wasafiri wote? Sheria za barabarani zinaeleweka? Njia tupitayo ndio yenyewe au tunachochora?
Gari ulilopanda ni sahihi na salama? Mi ndo nahangaika kujiuliza hivi, natumaini nitapata majibu!