Jamaa mmoja alikwenda dukani akanunua SIGARA na kuanza kuvuta pale pale.
Muuzaji - Samahani kaka, hairuhusiwi kuvuta SIGARA hapa dukani.
Mteja - Mbona SIGARA nimenunua hapa hapa?
Muuzaji - Kila siku tunakuuzia CONDOM mbona hu*%*$ hapa hapa?:bange::bange: