ANKO JEI JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 1,319 Reaction score 2,503 Feb 9, 2021 #81 Huu ni ushauri mzuri na ule wa JOKA JEUSI
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,732 Feb 10, 2021 #82 cocastic said: Duuuuuuh makubwa hayaa lol, hongera kwa hilo. Click to expand... Athaaante cocastica!! kwa nini hukuitwa Fantastica? yaani!!! napenda ile rangi yake sana, jimama Bin Sugar Mam pia km Fanta inanyweka!! halafu naomba ushauri wa bure kuhusu Maisha na tuwe marafiki wakudumu! siyo ule wa naniliu!!.... hapana!
cocastic said: Duuuuuuh makubwa hayaa lol, hongera kwa hilo. Click to expand... Athaaante cocastica!! kwa nini hukuitwa Fantastica? yaani!!! napenda ile rangi yake sana, jimama Bin Sugar Mam pia km Fanta inanyweka!! halafu naomba ushauri wa bure kuhusu Maisha na tuwe marafiki wakudumu! siyo ule wa naniliu!!.... hapana!