Hapa ndio namwelewega Jokajeusi anamaanisha nini anaposisitiza msioe wanawake wasio bikra,mimi nishaoa tayari sina jinsi ila watoto wangu nitawaambia wasio mwanamke ambaye sio bikra.
Mapenzi na Logic Ni vitu viwili tofauti ukiwa ni mtu wa ku- reason out katika mahusiano lazima mahusiano yakushinde ... Ajabu Ni kwamba hiki nacho kizungumza Mimi mwenyewe siwezi kuki apply