simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
hakuna uthibitisho wowote unaosema kuna mbingu ya saba.....lakini hata kama ipo basi dah! huko watakuwa wanaishi watenda miujiza tu maana siupatii picha umbali wake....Na mbingu ya 7 iko wapi?
pamoja mkuuKwa ndugu zetu Christians ndio wanaamini hivyo kwa Waislam mambo ni tofauti mnoo.
pamija mkuu, ntajitahidi kuandaa mada nilizoorodhesha afu nitazileta.......safari hii sitaki kusummarize nitazileta genuine point ili tushibe mapoint mkuuIla somo ni zuri kweli kwel
mkuu fanya tafiti lakini kama ungeuliza swali ningekujibutukiongelea mbinguni kwanza lazima tufahamu dunia ni kitu gani kiuhalisia,,mimi naamini dunia ndio ulimwengu mzima,sio duara hazunguki wala kuruka, hakuna kitu nje ya dunia,jua,mwezi,nyota na sayari zote vyote vipo ndani ya dunia hii na sio nje au outter space,wala havipo mbali.
jua halipo mamilioni ya miles ila lipo juu tu hapo kama tunavyoliona na mwezi pia upo juu tu hapo na nyota zote zipo karibu tu kama tunavyoona,sisi kama binaadamu macho yetu hayana uwezo wa kuona nyote zizlizo trillion 25 miles,nyota mwezi na jua tunaviona kwa macho yetu kwa sababu vipo karibu sana.
nje ya dunia hakuna universe wala hakuna outterspace na inawezekana kuwa hii dunia ndio haina mwisho na sio duara bali ni kama infinity realm (ulimwengu) wala haina motion yeyote na sayari zote zipo juu kama lilivyo jua, mwezi na nyota vinaizunguka ardhi kila siku.
jaribu kulitazama jua au mwezi kisha uone kama vipo nje ya wingu la buluu au vipo ndani.
turudi kwenye mada ya mbinguni,mimi kwa mtazamo wangu neno mbinguni linamaanisha realm na sio ukanda wa juu ya ardhi ya dunia,kwa hio kama kuna peponi itakuwa ni realm(ulimwengu) tafauti na hii na sio kupaa juu tu bali ni kwenda katika relm nyengine tafauti na hii tulipo,kwa maana hio wanasayansi hawataweza kutoka nje ya dunia na hawataweze kufika ulimwengu nje ya hii dunia,kama unafatilia report za wanasayansi wanasema kuwa mpaka sasa wana uwezo wa kuruka na kufika kwenye low earth orbit,low earth orbit ni kama 1200 miles kutoka ardhini,hawana uwezo wa kutoka nje ya hapo mpaka leo hii
nami ntaishia hapa
by the way- nimekwenda shule na kumaliza elimu ya juu,imani yangu ya kuwa kinyume na science ni kwa sababu mpaka leo hakuna proof ya outter space wala motion ya dunia wala gravity,hamna proof yeyote ni imani tu.
Sasa ule ubluu nikiangalia juu angani ni kitu ganitukiongelea mbinguni kwanza lazima tufahamu dunia ni kitu gani kiuhalisia,,mimi naamini dunia ndio ulimwengu mzima,sio duara hazunguki wala kuruka, hakuna kitu nje ya dunia,jua,mwezi,nyota na sayari zote vyote vipo ndani ya dunia hii na sio nje au outter space,wala havipo mbali.
jua halipo mamilioni ya miles ila lipo juu tu hapo kama tunavyoliona na mwezi pia upo juu tu hapo na nyota zote zipo karibu tu kama tunavyoona,sisi kama binaadamu macho yetu hayana uwezo wa kuona nyote zizlizo trillion 25 miles,nyota mwezi na jua tunaviona kwa macho yetu kwa sababu vipo karibu sana.
nje ya dunia hakuna universe wala hakuna outterspace na inawezekana kuwa hii dunia ndio haina mwisho na sio duara bali ni kama infinity realm (ulimwengu) wala haina motion yeyote na sayari zote zipo juu kama lilivyo jua, mwezi na nyota vinaizunguka ardhi kila siku.
jaribu kulitazama jua au mwezi kisha uone kama vipo nje ya wingu la buluu au vipo ndani.
turudi kwenye mada ya mbinguni,mimi kwa mtazamo wangu neno mbinguni linamaanisha realm na sio ukanda wa juu ya ardhi ya dunia,kwa hio kama kuna peponi itakuwa ni realm(ulimwengu) tafauti na hii na sio kupaa juu tu bali ni kwenda katika relm nyengine tafauti na hii tulipo,kwa maana hio wanasayansi hawataweza kutoka nje ya dunia na hawataweze kufika ulimwengu nje ya hii dunia,kama unafatilia report za wanasayansi wanasema kuwa mpaka sasa wana uwezo wa kuruka na kufika kwenye low earth orbit,low earth orbit ni kama 1200 miles kutoka ardhini,hawana uwezo wa kutoka nje ya hapo mpaka leo hii
nami ntaishia hapa
by the way- nimekwenda shule na kumaliza elimu ya juu,imani yangu ya kuwa kinyume na science ni kwa sababu mpaka leo hakuna proof ya outter space wala motion ya dunia wala gravity,hamna proof yeyote ni imani tu.
Aisee! Ndugu mleta uzi, Good morning sir! Kabla sijachangia nami kidogo, naomba majibu kwa haya machache:-
1. Mbinguni ni wapi? na mbingu ni nini?2.Apart from Biblical perspectives, je wewe unaamini kuwa mbingu ipo?3. Je kuna ushahidi gani kuwa kuna mbingu?Logic: Je nikisema kuwa mbingu ni comfort zone inayotengenezwa na hisia za mwanadamu katika kujifariji na kukabiliana na changamoto zake hapa duniani akiamini kuwa huenda akiondoka hapa Duniani ataenda mbinguni ambapo hatakumbana na shida alizonazo? Am I right?
Mkuu, asante kwa mrejesho ingawa umejibu kinyume chake na shallow to some extent. Rejea swali langu na rudia kusoma majibu yake uliyotoa..! Umejaribu ku-cite maandiko ya Biblia but think this way, kuna watu hawaamini kwenye dini na wao huwamini kwenye sayansi or Mizimu.mkuu nitajibu swali la 3. na hiyo Logic yako...maswali mengine nitayaletea topic kama nilivyosema.
nianze na la 3. [Ufunuo 7: 9] inatuambia kwamba kutakuwa na "umati mkubwa mbinguni ambao hakuna mtu anayeweza kuhesabu" [MARKO 16:19] Yesu alipokwisha kuwaambia maneno haya, alichukuliwa juu mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.
USHAHIDI WA WANASAYANSI KUNA MBINGU;
NASA/JPL/MALIN SPACE SCIENCE SYSTEMS "Pengine huenda sio ziwa kubwa sana , alisema Profesa Orosei kutoka taasisi ya maswala ya angani inayohusika na asili ya nyota na viumbe vyengine vilivyopo mbinguni', alimbaye ndiye aliyeongoza utafiti huo uwepo wa ziwa sayari ya mars.
huo uthibitisho wa mbigu ya 3 umeupata wapi ss, kama sio nadharia yako tuhakuna uthibitisho wowote unaosema kuna mbingu ya saba.....lakini hata kama ipo basi dah! huko watakuwa wanaishi watenda miujiza tu maana siupatii picha umbali wake....
Aiseee!!!!tukiongelea mbinguni kwanza lazima tufahamu dunia ni kitu gani kiuhalisia,,mimi naamini dunia ndio ulimwengu mzima,sio duara hazunguki wala kuruka, hakuna kitu nje ya dunia,jua,mwezi,nyota na sayari zote vyote vipo ndani ya dunia hii na sio nje au outter space,wala havipo mbali.
jua halipo mamilioni ya miles ila lipo juu tu hapo kama tunavyoliona na mwezi pia upo juu tu hapo na nyota zote zipo karibu tu kama tunavyoona,sisi kama binaadamu macho yetu hayana uwezo wa kuona nyote zizlizo trillion 25 miles,nyota mwezi na jua tunaviona kwa macho yetu kwa sababu vipo karibu sana.
nje ya dunia hakuna universe wala hakuna outterspace na inawezekana kuwa hii dunia ndio haina mwisho na sio duara bali ni kama infinity realm (ulimwengu) wala haina motion yeyote na sayari zote zipo juu kama lilivyo jua, mwezi na nyota vinaizunguka ardhi kila siku.
jaribu kulitazama jua au mwezi kisha uone kama vipo nje ya wingu la buluu au vipo ndani.
turudi kwenye mada ya mbinguni,mimi kwa mtazamo wangu neno mbinguni linamaanisha realm na sio ukanda wa juu ya ardhi ya dunia,kwa hio kama kuna peponi itakuwa ni realm(ulimwengu) tafauti na hii na sio kupaa juu tu bali ni kwenda katika relm nyengine tafauti na hii tulipo,kwa maana hio wanasayansi hawataweza kutoka nje ya dunia na hawataweze kufika ulimwengu nje ya hii dunia,kama unafatilia report za wanasayansi wanasema kuwa mpaka sasa wana uwezo wa kuruka na kufika kwenye low earth orbit,low earth orbit ni kama 1200 miles kutoka ardhini,hawana uwezo wa kutoka nje ya hapo mpaka leo hii
nami ntaishia hapa
by the way- nimekwenda shule na kumaliza elimu ya juu,imani yangu ya kuwa kinyume na science ni kwa sababu mpaka leo hakuna proof ya outter space wala motion ya dunia wala gravity,hamna proof yeyote ni imani tu.
Unajua ni kawaida ya binadamu anapokosa majibu, kujitafutia chakumfariji.Aisee! Ndugu mleta uzi, Good morning sir! Kabla sijachangia nami kidogo, naomba majibu kwa haya machache:-