Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,675
*JITIBU NYUMBANI KWAKO*
*KIUNGULIA*
Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka In shaa Allah
*KUZUIA KUHARISHA*
Kamua maji ya chungwa lita1
Kunywa glass1 kutwa mara 3
Kuharisha kutakata in shaa Allah
*HAMU YA KULA*
Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte
Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe
Hamu ya kula itakuja in shaa Allah
*KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)*
Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona in shaa Allah
*MAGONJWA YA NGOZI*
Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona inshaa Allah
*MAPUNYE NA FANGASI*
Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipoathirika
*VIDONDA VYA TUMBO*
Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri
Yatwange upate unga
Chota unga huo vijiko viwili changanya na asali safi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki1
*NGUVU ZA KIUMENI*
vijiko3 vya unga wa parachichi
Vijiko2vya unga wa hiriki
vijiko3vya asali safi
Changanya kwenye glass1 ya maziwa kunywa asubuhi na jioni
*TUMBO LA HEDHI*
Chemsha majani ya mparachichi
Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7 litapona In shaa Allah
*ANAYEKOJOA KITANDANI*
Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni $iku3-7
*MATATIZO YA FIGO*
Chemsha ndevu za mahindi chuja kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 siku 11-21
*ASIYEONA VIZURI*
Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku3
*MALARIA*
Chukua ndimu7,zikamue kwenye glass
Andaa glass1 ya maji ya dafu
Changanya kunywa kutwa mara2 mpk upone in shaa Allah
*KUTOA SUMU MWILINI*
Kunywa nusu glass ya maji ya.ndimu kila mwezi kwa muda wa miezi 2 sumu itaondoka mwlini in shaa Allah
_____________________________________
* DARSA HII USI EDIT CHOCHOTE, WALA USIBADIL CHOCHOTE, WALA USIWEKE JINA LAKO AU GROUP ILA TU SHARE KWA WATU UWEZAVO WAPATE FAIDA.. *