Jitibu kiasili kwa kula mbegu za Maboga

Jitibu kiasili kwa kula mbegu za Maboga

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Zina madini aina ya
Zinc
Kopa
Chuma
Magnesium
Manganese
Phosphorus
Husaidia kuzalisha Maziwa kwa mama anaenyonyesha
Husaidia kurekebisha sukari mwilini na kuwezesha kongosho kufanya kazi yake vizuri

Huimarisha mfumo Wa uzazi kwa wanaume na wanawake kutokana na madini aina ya zinc omega3 na omega6

Huondoa sumu mbalimbali mwilini hasa kwenye figo na kibofu cha mkojo

Ni lishe bora kwa mama mjamzito

Husaidia kuondoa shinikizo la damu

Ni chanzo kizuri cha vitamin, A,B,E,k

Ni kinga dhidi ya kizazi kwa wanaume na wanawake
Huboresha kumbukumbu, akili,kwa watoto na watu wazima kutokana na madini ya zinc omega3 na fatty

Husaidia kuondoa matatizo ya unene unaotokana na wingi Wa mafuta cholesterol mwilini
Ni kinga tiba kwa matatizo ys INI na figo na moyo
Husaidia kuondoa matatizo ya macho kutokana na wingi Wa vitamin A
Huimarisha mishipa ya sehem za siri kwa wanaume na kufanya iwe imara sana kutokana na wingi Wa madini ya chuma kopa na zinc,,,, huboresha mbegu za kiume na kufanya iwe rahisi kutunga mimba kutokana na madini aina ya zinc omega3 na omega 6
Kama utahitaji zilizo tayari kwa matumizi Tafadhali wasiliana nasi kwa
0769 269630
 
Back
Top Bottom