Safii hii hsichanganywi na mimawe
Dah umenikumbusha mama yangu maskini. Ilikuwa viungo unakaanga na kuponda just before cooking pilau.
Asante kuliko vile vya sokoni vimekaa weee hata harufu zinaishia huko sokoni
Hahaha na mie hukaanga pia ila huwa mda mwengine sivipondi naweka vizima
Kumbe nikiweka vizima napashwa kukaanga kwanza? Kweli elimu haina mwisho, asante mamii
asante mamy
Nikisaga na Blender ni sawa ?