Mimi najitenga na wewe uliyeandika kichwa cha habari kiswahili halafu habari yenyewe umeandika english....1 speak poorly about others
2 have problems for every solution
3 enjoy complaining
4 always feel entitled
5 blame others for losing
6 take more than give
7 make you feel bad about yourself
8 cheat or lie
9 bully or troll
10 nitpick as a hobby
We isis aisee comment zako mwanzo nilikuwa nakuchukia ila kwasasa nacheka tuPure chadrama walahi
Itabidi nikae nao mbali walahi
Dada ISIS uko na pure obsession na CHADEMA hata ukiwa na mumeo waonekana unawaza tu CHADEMA 😂Pure chadrama walahi
Itabidi nikae nao mbali walahi
Hizo ndo sifa za binadamu,hakuna binadamu anaekosa sifa hizo.Udhaifu huo ndo unafanya ukamilifu wa ubinadamu.1 speak poorly about others
2 have problems for every solution
3 enjoy complaining
4 always feel entitled
5 blame others for losing
6 take more than give
7 make you feel bad about yourself
8 cheat or lie
9 bully or troll
10 nitpick as a hobby
Hahahaha!! Chadema ni rahisi kutamkika. Kuliko kuelewa kilicho andikwa. Me mwenyewe nimekuja mkuku kufika tu lahaulaah kibeberu na kibepari nimegeuza narudi kunywa maji.Dada ISIS uko na pure obsession na CHADEMA hata ukiwa na mumeo waonekana unawaza tu CHADEMA [emoji23]
lukubuzo Samsis tafadhali naomba msaada wa tafsiri ili nielewe kama si kuchangia maana hii lugha ya mabeberu na mabepari inanipa wakati mgumu sana.Hizo ndo sifa za binadamu,hakuna binadamu anaekosa sifa hizo.Udhaifu huo ndo unafanya ukamilifu wa ubinadamu.